TUNDU LISSU AFIKISHWA KIZIMBANI LEO

Mwanasiasa na mwanasheria wa cha cha demokrasia na maendeleo mh.tundu lissu amefikishwa mahakamani leo kwa makosa ya kutoa kauli na maneno ya uchochezi baina ya sehemu mbili za muungano yaani zanzibar na tanganyika.
Tundu lissu ambae alikamatwa akiwa mkoani dodoma na kusafarishwa hadi jijini dar es salaam kwa mahojiano zaidi,pia tundu lissu aligoma kula kwa zaidi ya siku mbili baada kuwekwa rumande siku tatu bila kupelekwa kizimbani'
Mwasiasa huyu alitoa kauli ya kuwa zanzibar inatawaliwa kijeshi na tanganyika toka mwaka 1964,aliongeza kusema kuwa kila uchaguzi mkuu unapofika basi wanajeshi wa bara wengi huenda zanzibar na kwenda kulinda maslahi ya vibaraka wao, pia inafahamika nani anatakiwa kurtawala nchi.
Ifahamike kuwa mbunge wa arusha mjini tiketi ya chadema yuko rumande akisubiri hatma yake.

Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "TUNDU LISSU AFIKISHWA KIZIMBANI LEO"

Back To Top