GWAJIMA,MANJI WATII WITO WA MAKONDA

Wakati moto wa kifuu ukiwaka huko bungeni juu ya swala la madawa ya kulevya na hatua zinazochukuliwa kuonekana kuwa zinakiuka haki za binadamu kwa kuwataja hadharani ktk vyombo vya habari badala ya kutumia taratibu maalum kama seria inavyotaka,leo hii mwenyekiti wa yanga yusuph manji na mchungaji gwajima mapema leo asubuhi walionekana wakiwasili kituo kikuu cha polisi mjini kuja kujibu shutma hizo.

Kuja kwa watajwa hao kuliwelka msongamano wa vyombo vya habari nje ya jengo la kituo ili kupata taarifa,yusuph manji aliingia ndani na kuhojiwa kwa mda na kauchiwa na lakini wakati akiwa nje hatua chache kutoka langom kuu polisi walikuja na kuonekana kumuhitaji kurudi tena ndani na aliafanya hivyo kitu amabcho kilshangaza wengi.baada kuhojiwa saa zaidi ya tano yeye manji na gwajima walipakiwa ktk gari moja la polisi na kupelekwa kusikojulikana.


Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "GWAJIMA,MANJI WATII WITO WA MAKONDA"

Back To Top