
Walipoulizwa madereva wa gari hizo kwanini wanafanya mambo ya aina hiyo kusafirisha wahamiaji haramu hali wanajua kuwa hilo ni kosa kubwa nchioni,madereva walijiubu kuwa kinachowafanya kutenda mambo hayo ni ugumu wa maisha na ktk kujitafutia vipato,
ikumbukwe jkuwa taifa la ethiopia,somalia ni miongoni mwa mataifa yanayo ongoza kwa raia wake kukimbia nchi zao kutiokana na vita,njaa,umasikini uliokithiri na ukosefun wa ajira ktk nchi hizo,Tanzania imefanywa kuwa njia kuu ya kupitishia wakimbizi hao a kukamatwa mara kwa mara wakiwa ndani ya magari hasa malori ya mizigo.
0 Comments "WAHAMIAJI HARAMU 25 TOKA ETHIOPIA WAKAMATWA TANGA"