
ATCL wanalusudia kuanza safari hizo mwezi wa sita mwaka huu,shirika hili ambalo kwa sasa limepata ndege mbili mpya kabisa aina ya bombadier kutoka nchini canada ambazo zillinunuliwa ka pesa taslim kwa agizo na nia ya Rais wa tanzania John pombe joseph magufuli.
Hata hivyo kumekuwa na ukosoaji wa watu mbalimbali juu ya ufanisi wa ndege hizo na ubora wake ktk kufanya safari zake za ndani kwani zimekuwa zikileta shida za zaq kiufundi mara kwa mara.
Nchi ya malawi imekuwa ktk mgogoro na Tanzania kwa mda mrefu kwa kugombea utafutaji wa mafuta na gesi ndani ya ziwa nyasa (malawi).
0 Comments "SHIRIKA LA NDEGE TANZANIA LINAKUSUDIA KUANZISHA SAFARI ZA MALAWI"