MADDONA: MWANAMUZIKI WA KIKE TAJIRI DUNIANI

Unapozungumzia wanamuziki maarufu wa kike na wenye mafanikio makubwa yaliotokana na kazi zao  hizo basi bila shaka hautoweza kulificha jina hili la (Madonna) ambaye ni mwanamuziki wa kimarekani alieanza kuwika na kufahamika zaidi mwishoni mwa miaka ya (1970).

Madonna louisse ciccone jina kamili alizaliwa tarehe( 16/8/1958) na ana mri wa miaka (58) ktk mji wa( Bay) jimbo a michigan huko marekani na kukulia huko kisha kuja kuishi na kufanya kazi zake za muziki ktk jiji la new york 1977.

Wazazi  wa madonna baba ni( silvio ciccone) na mama ni madonna( louse ciccone),madona alishawahi kuishi na mume ajulikane kama (sean penn 1985-1989 ) na kuacha na baadae alikuwa na  Guy ritchie mwaka (2000-2008),

Pia madonna alifanikiwa kuapata watoto watatu wanaujulikana kama  (lourdes marin ciccone leone,rocco ritchie na more).

Kazi kuu za madonna ni mwanamuziki,mwimbaji,mtunzi na mwandishi nyimbo,mcheza filamu,pia ni mfanyabiashara maarufu marekani. madonna aliashawahi kuigiza ktk filamu za (desperately seeking susan 1985),a league of their own more,evita (1996)(,dick tray 1990).

Madonna alipata umaarufu zaidi alipoanza kutoa nyimbo na albamu kama( epony mous debut 1892)9,true blue 1986),(ray of light 1998),(confessions on dance floor 2005),(hard candy 2008),(rebel heart 2015).

Nyimbo maarufu zilizomuweka ktk ulimwengui wa muziki miaka ya 1980-1990 ni kama like a player 1989,like a virgin 1984,vogue 1990,la isa
bonita,holiday. madonna alisaini mkataba na makampuni ya kurekodi nyimbo kama mtv,warner bros na alishakuwa na makundi ya muziki kamauk music halls fame,rock and rolls hall of fame.

Madonna ameshinda tuzo nyingi za kitaifa na kimataifa duniani na kufanya matamasha mengi ulimwenguni yaliomuingizia pesa nyingi sana,pia madona alishawaasili watoto wengi kutoka nchi za afrika kama malawi,zambia na kwenda kuishi nao kama wanawe wa kuwazaa.

Alishauza zaidi ya nakala milioni mia tatu za mziki duniani na kufanya kuwa ndio mwanamke pekee mpaka sasa aliyeuza nakala nyingi kuliko yeyote yule na kuingia ktk kitabu cha guiness book of records.

Utajiri wa madonna mapaka sasa unakadiliwa kufikia dola milioni mia tano na sitini(560),na anamiliki nyumba na majengo mengi ya kibiashara ndani na nnje ya marekani.

Madonna ana urafiki na wanamuzikim kama lady gaga,britney spears,mary j blidge,kwa sasa  madonna anaishi mjini london kwenye makazi yake ya kudumu,madona alisha fanya kazi nyingi na kushirikiana na wanamuziki wengi ulimwenguni na kumafanya kuwa maarufu hasa kwa vituko na aina ya mavazi yake ya nusu uchi uliyokuwa anapenda kuvaa mara nyingi.








Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "MADDONA: MWANAMUZIKI WA KIKE TAJIRI DUNIANI"

Back To Top