VOLKANO YALIPUKA MLIMA ETNA ITALIA

Mkusanyiko wa ujiuji wa volkano kilaamu unajulikana kama (lava au magma) umelipuka leo ktk mlima Etna uliopo ktk kisiwa cha sicily kilichopo ktk himaya ya chi ya italia,volckano hiyo iliyolipuka kwa msukumo mkubwa .
Kawaida mlima huu ulopo kisiwani hapo ni aina ya milima ya kivolkano ulio hai (active) ambao haipiti wiki unalipuka ila kwa mlipuko huu wa hivi karibuni umekuwa mkubwa ukilinganisha na mengine mingi.

Ulipukaji wa volkano ktk mlipuko mkubwa unaweza kuleta athari za kimazingira,kiafya na hata vifo kwa wanadamu viumbe vyenginevyo vinavyoishi maene ya jirani,lakini pia volkano uweza kuathiri mfumo wa injini za ndege na kushindwa kufanya kazi vyema na hata kusababisha ajali.

Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "VOLKANO YALIPUKA MLIMA ETNA ITALIA"

Back To Top