NASA WANAKUSUDIA KUANZA UTALII MWEZINI 2018

Shirika la kimarekani la mambo ya anga lijulikanalo kama NASA limetangaza kuanza ndoto yake ya siku nyingi ya kupeleka watalii ktk anga za mbali kam mwezini na ktk sayari  mars na nyinginezo.

Kufikia  mwaka wa kesho 2018 shirika hilo linakusudia kupeleka watalii wawili kutoka duniani na kwenda mwezini ikiwa safari ya kwenda na kurudi kwa gharama ya dola laki mbili na hamsini (250000) kwa kila mmoja wao.

Zaidi ya tiketi mia saba 700 kutoka sehemu mbalimbali duniani wameshakata kwa ajili ya utalii wa aina hiyo.
 Kutoka duniani hadi kufika ktk mwezi  zaidi ya maili laki mbili na thelethini na na nane238000 sawa na kilometa laki tatu themanini na nne elfu 384000 ambapo chombo hicho utumia siku tatu kufika huko ingawa chombo cha new horizon probe kilichowahi kutumwa kwenda sayari ya pluto kilitumia saa nane na dakika thelethini na tano tu na kupita mwezini 8 na dakika 35.

Utalii wa aina hii umeonekana  kuvutiawatu wengi duniani japo wengi wana hofu na usalama wa maisha yao kwani wakati mwingine vyombo vinavyotumika kusafirishia watu huweza kuleta matatizo vikiwa safarini,kitu ambacho ni hatari sana kwani swala la kurudi salama duniani tena  ni asilimia 0%.





Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "NASA WANAKUSUDIA KUANZA UTALII MWEZINI 2018"

Back To Top