ADAMA BARROW AMFUKUZA KAZI MKUU WA MAJESHI

Adama barrow kiongozi wa taifa la gambia amemfukuza kazi mkuu wa majeshi Bw,. Ousman Badjie mapema kwa kile kinachozaniwa ni kuwa mtii aidi kwa rais Yahya jammeh aliyeikimbia nchi hivi karibuni baada ya kugomea ushindi wa mpinzani wake adama barow aliyeshinda kihalali.
Taifa la Gambia limekuwa na matatizo ya kiuchumi na kisiasa uliosababishwa na utawala wa kidikteta Yahya jammeh aliyeitawala zaidi ya miaka 22 kwa mkono wa chuma na kujulikana kwa kwa kuakandamiza  haki za kibinadamu na kidemokrasia.

Share :

Facebook Twitter Google+ Lintasme

Related Post:

0 Comments "ADAMA BARROW AMFUKUZA KAZI MKUU WA MAJESHI"

Back To Top