
Viwanda hivyo ambavyo vinakusudiwa kuanzishwa eneo la kibaha misugusugu mkoa wa pwani,akiongea zaidi Victoria elangwa mkurugenzi msd alisemakuwa mpang huo utasaidia kunyanyua hali ya maisha ya watu watakaozunguka viwanda hivyo kwa kujipatia kazi zitakazowapa kipato.
Ikumbukwe kuwa zaidi ya 85% ya madawa na vifaa tiba vinavyotumika nchini vuinaagizwa kutoka nchi za nje hasa kenya na india ma kufanya kuongeza gharama kubwa kwa taifa ktk ununuzi wa madawa na vifaa tiba.
Serikali inakusudia kuanzisha viwanda hivyo kwa ajili ya kutengeneza vifaa na madawa ya kawaida ili kuepuka kuagiza kila kitu kutoka nje.


0 Comments "VIWANDA VYA DAWA NA VIFAA TIBA KUJENGWA PWANI"