
Zaidi ya watu watatu 3 wanalipotiwa kufa na 19 kupotea kutokana na mafuriko hayo yalio haribu miundombinu ya barabara,kukata milima,mito kufurika na kuachga njia zake za asili,nuzo za umeme kuanguka,nyumba kubomoka,visima nan mabomba ya maji kuzolewa,magari kuchukuliwa.
Watu zaidi ya 400 wamezuiwa juu ya milima bada ya maji kutenganisha kwa kukata njia iliyokuwa ikutumika.
Raia wameonekana kutumia maji ya dukani zaidi ktk shughuli zao zote kwa kuhofia kupata magonjwa kwa kutumia maji yapitayo.
0 Comments "CHILE:SANTIAGO WAKOSA MAJI SAFI YA KUNYWA BAADA YA MAFURIKO"