Jana tarehe 26 mwezi februari ilikuwa siku ya kutoa tuzo za kimataifa ktk filamu za dunia,Ktk hali isiyokuwa ya kawaida mtangazaji aliyeitwa Fred Berger kwa ajili ya kuitangaza filamu ya bora ya mwaka 2016 iliyotumia bajeti ndogo lakini imependeza zaidi alijikuta akikosea kitaja jina la filamu ya LA LA LAND kama washindi na kuja mbele kisha ghafla wakajikuta wakirudishwa kuwa jina limekosewa na si wao walioshinda bali ilikuwa ni filamu ya MOONLIGHT.
Hatua hii ilileta sintofahamu kwa watajwa na watazamaji kwanini ilkua vile kukosewa kutanjwa wao badala ya moonlight,ilawalishukuru mtangazaji kwa kuonyesha kujali na kuikubali filamu hiyo japo kwa kituko hiko ilishakuwa na kuanduika historia ktk dunia.
Mambo mengine ya kushangaza ndaninya upokeaji wa tuzo hizo ni ile idadi kubwa y washindi kutokea ktk filamu hizi mbili za moonlight na la la land.
Miongoni mwa washindi wa mwaka walikuwa wamarekani weusi kitu ambacho kimewapa moyo waigizaji weusi walikua wanalalamika juu ya kuwatenga wao ktk tuzo hizio licha ya kufanya vizuri ktk tuzo nyingine duniani.
Baadhi ya washindi waliochukua tuzo jana ni filamu bora iltajwa moonlight,mcheza filamu bora wa kike ni emma stone toka ktk filamu ya la la land,muigizaji bora wa kiume casey affleck ktk manchester by the sea,muongoza filamu bora Damien chazzele kutoka la la land,wengine ni viola davis,machershala ali,kenneth lonergan,barry jenkins na tarellalim,linus sangren,filamu yenye muonekano mzuri ni jungle book.





0 Comments "KITUKO CHA MWAKA NDANI YA UGAWAJI WA TUZO ZA OSCAR"