TUZO ZA OSCAR: WAMAREKANI WEUSI NA WALATINI WALALAMIKA KUWABAGUA

Tuzo za filamu za kimataifa zimekuwa zikilindima kila mwaka kwa kuwatafuta waigizaji bora wa kiume,kike,filamu bora ya mwaka,kampuni bora ya inayohusika na uchukuaji wa filamu. Tuzo hizi kongwe nchini marekani zitakuwa za mara ya themanini na tisa(89th) toka kuanzishwa kwake kwa mara ya kwanza mwaka 1929 na kuja kutangazwa kwa redio mwaka 1930 na kuonyeshwa kwa runinga mwaka 1953 na kuonekana na nchi zaidi ya 200 duniani kote.

Tuzo hizi zimekuwa zikilaumiwa mara kwa mara kwa kuonekana kupendelea kuwapa ushindi wamarekani wazungu na mataifa mengine ya ulaya huku wakiwasahau watu weusi kuwa nao wanafanya vizuri sana ktk filamu,tamasha hili linalofanyika tarehe 26/2/2017 kwa ajili ya kuangalia filamu na wacheza filamu bora nchini marekani na dunia kwa ujumla.

Tuzo zinatolewa ktk ukumbi wa Dolby theatre uliopo huko hollywood calfornia usiku umeitaja filamu ya (La La land (moonlight) kuwa ni filamu bora ya mwaka) lakini pia filamu kama fences,manchester by the sea,captain fantastic,hacksaw ridge pia zimejishindia kuwa miongonui mwa filamu bora kwa mwaka 2016.

Waigizaji bora wa mwaka walitajwa kuwa ni Rayn Goslin,Denzel washinghton na filamu yake ya fences,Cassey Affleck,voggo mortensen,Emma stone,licha kutajwa kwa mweusi mmoja bado wataalamu na wachambuzi wa maswala ya filamu wameona kuwa tuzo hizo zinatolewa kwa mujibu wa umaarufu na ubaguzi kwani hakuna mlatini hata mmoja alietajwa kushinda.

Tuzo kama hizi ziko sehemu nyingi duniani kama zile za (Palme d o za cannes ufaransa,BAFTA awards,The golden bear za ujerumani,Filmfare awards,Film of the yaer za ulaya,The golden leopard,Grand jury prize za sundance,Golden globes, na zile za Golden lion za venice italia) ila tuzo za Oscar ndio tuzo bora na zinazojulikana zaidi ulimwenguni.

Wakongwe kama kina Mel gibson aliewahi kuongoza filamu ya Apocalypto ilyopata kuuza sana,pia Bruce willis,samwel jackson walikuwepo ktk tuzo hizo na kufanya Isabelle humpert ktk filamu yake ya the best way to please is not to please.kuwa mwanamke bora ktk uigizaji.

Tuzo hizi ni muhimu sana kwani zinawapa moyo na kuwaongezea hali ya juhudi zaid kwa waigizaji filamu diniani kuendelea kufanya vizuri zaidi ktk kazi yao hiyo.Tuzo hizo zitagaiwa usiku wa leo ktk watu wanahisiwa kushinda tuzo hizo.







Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "TUZO ZA OSCAR: WAMAREKANI WEUSI NA WALATINI WALALAMIKA KUWABAGUA"

Back To Top