Maelfu ya wananchi wa Korea kusini wamewingia tena mitaani kwaajili ya kuandaman na kupinga kuendelea kukaa madarakani kwa Rais park naeshutumiwa kwa kurudisha uchumi nyuma,kufilisika kwa mashirika ya umma,kuenea kwa rushwa ktk ofisi za umma,kuwa na mawasiliano ya karibu na raifiki yake wa zamani ambae anashutumiwa kwa kwa kumpa pesa za umma kwa ajili ya mambo yao binafsi.




0 Comments "KOREA KUSINI: MAELFU WAANDAMANA KUTAKA RAIS AJIUZULU"