MBABE WA SIASA (ROBERT MUGABE) ASHEHEREKEA KUTIMIZA MIAKA 93

Robert Mugabe Rais wa Zimbabwe amesheherekea kutimia miaka 93 toka kuzaliwa kwakwe 21/2/1924 huko zimbabwe,mipango ya mugabe ni kuhakikisha anakanya umri wa maka mia moja(100) ndio afe.

Sherehe hizi ambazo utumia kiasi kikubwa cha pesa kutoka hazina,mugabe amekuwa akifanya hivi kila mwaka kuhakikisha wapinzani wake wa ndani na nnje ya nchi wanaumia roho kwa kuendelea kumtabiria kifo kila mwaka na kufa hafi.

Mugabe ameazimia kugombea tena kutawala zimbabwe kwa uchaguzi ujao licha ya uzee wake alio nao na kuanguka mara kwa mara ikiwemo na kupoteza kumbukumbu kutokana na uzee alionao.

Mkewe mwenye umri wa miaka 51 kwa sasa amekuwa akimpigia debe ktk mikutano ya hadhara kuwa mumewe yuko imara na wamchague kwa hali yeyote na ataitawsala zimbabwe hata akiwa atakufa.

Sherehe hizo zilizohudhuliwa na maafisa  na viongozi mbalimbali kutoka ndani na nnje ya nchini zimekuwa zikifana sana kwa kupambwa na aina nyingi za vikolombwezo




.

Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "MBABE WA SIASA (ROBERT MUGABE) ASHEHEREKEA KUTIMIZA MIAKA 93"

Back To Top