Ni siku tatu sasa toka kuanza kwa sherehe za kila mwaka za kiasili zinahusisha watu kutoka ndani na nje ya Brazil hasa ktk mji maalum kwa sherehe hizo wa Sao paulo uliofurika watu mitaa yote huku wakifurahia.Sherehe hiziuhusisha watu kula,kunywa,kupiga ngoma,kuvaa mavazi maalum,maua na vinyago vya kila aina.
Watu ktk sherehe hizi utumia sana vilevi kwa kiasi kikubwa na kufanya kuwepo kwa fujo nyingi mitaani na kufanya serikali kulazimika kutumia kiasi kikubwa cha polisi kuwasambaza mitaani kwa kulinda amani ya wananchi wake.
Shughuli hii ni maarufu sana ulimwenguni kote kwa umaarufu wake wa mbwembwe nyingi zinazofanywa na watu wanaohudhuria sherehe hizo na uchukua majuma kadhaa kuisha,watu wanaingia ktk sherehe hizi wakiwa na mimba na kuendelea kufanya mambo yao.
Miji ya Sao paulo na Rio de jeneiro inafahamika ulimwenguni kote kwa maonyesho ya kimataifa na mambo ya starehe nyingi.





0 Comments "SAO PAULO (BRAZIL) YARINDIMA KWA SHEREHE ZA KIASILI ZA KILA MWAKA"