Monday, February 27, 2017

Waziri wa ardhi na makazi Mh.William Lukuvi akiwa dodoma ameolea ufafanuzi juu ya kiwanja kilichopo kigamboni jijini Dar es salaam hakina mahusiano kabisa na Mfanyabiashara Mohamed ikbar aliyedai kuwa ni chake na kumapatia mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda ili ajenge viwanda.
Tukio hili la kumdanganya mkuu wa mkoa limeonysha limemkera sana Waziri Lukuvi na kuahidi kumshughulikia mfanyabiashara huyo kwa kufanya uhuni huo kwa viongozi wa serikali kwakua aliukua akijua wazi eneo lile ni la wazi na linamilikiwa na serikali na wala si mtu yeyote yule.
0 Comments "MAKONDA APEWA KIWANJA FEKI KIGAMBONI"