
Trum amejikuta ktk wakati mgumu kufuatiwa kwa kujiuzulu na kukataliwa kwa uteuzi wake kwa baadhi ya viongozi.
Kikubwa kinachoonekana ni juu ya sera zake kali za uhamiaji,za usalama na za kiuchumi ambazo zinapingana na sera za umoja wa ulaya na NATO,trump mekuwa akipingwa na wanachama wa mlengo wa kushoto wa Democratic kwa kusema anachokifanya Trump ni uhalibifu wa taifa kwa sera zake mbovu hivyo wana wajibu wa kukemea na kusimamia nchi yao kwani kukaa kimya ni hatari na siku moja wamarekani watawauliza wao walikua wanafanya nini wakati Trump anafanya hayo yote.
0 Comments "TRUMP:ATOSWA KWA MARA YA PILI KTK UTEUZI"