
Urusi ilidai kuwa ikiwa ukraine inataka kuachwa huru kwa kuona kama imebanwa sana basi hawana budin kulichukua jimbo lao la Crimea ambalo urusi iliwapa ukraine kutokana na ukaribu wao,jimbo hili linakaliwa na asilimia kubwa ya watu wenye asili ya urusi,ilipopigwa kura ya kuamua kama jimbo libaki ukraine aun urusi basi kula ziliangukia kuwepo upande wa urusi.
Rais wa urusi ambae anafahamika kwa misimamo yake mikali ktk dunia na siasa za nje aliongea wazi kuwa ukraine imeamua kupata inachokitaka kutoka kwa urusi,Taifa la ukraine kwa sasa limekumbwan na mapigano kwa mda wote wa maika mitatu yanayohusisha pande mbili yani wanajeshi wa serikali na wale wa wanaounga mkono urusi.
Peter shiveshenko ambae ni rais wa nchi ya ukraine ameishutumu vikali urusi kwa kuiharibu nchi yake na kwa kwa kuendelea kufadhili kiuchumi na hata kisilaha kwa wapiganaji wa upande wa urusi.
Nchi hii iliyokuwa rafiki mkubwa wa urusi kiasi cha kampuni ya mafuta na gesi ya Gazprom iliamua kupitisha bomba hilo la gesi kuelekea nchi za ulaya mashariki na kuilipa mamilioni ya dola ukraine kama kodi wakati huo wakiwauzia gesi kwa bei nafuu na kuidai nchi nhiyo pesa nyingi.
Wakati huo huo vyombo vya kusimamia mambo ya usalama kama umoja wa mataifa (UN),umoja wa ulaya (EU) na NATO wamekuwa wakiikemea na kuilamu kwa kiasi kikubwa urusi kwa kuendelea kutesa na kusumbua raia wa ukraine licha ya vikwazo vingi vya kiuchumi urusi havionekani kufanya kazi ianyokusudiwa.
Urusi insendelea kuishikilia ukraine kwakuwa ian maslahi makubwa ya kiuchumi na taifa hilo kwa mda mrefu sana,ikumbukwe ndege ya malaysia Mh 17 iliangushwa kwa bomu ikiwa na abiria 283 wakiwemo watoto 80 na waongoza ndege 15 iktokea Amsterdam uholanzi na kuangushwa mji wa Donetsk uliopo mpakani mwa urusi na ukraine.
0 Comments "UKRAINE YASHIKWA PABAYA NA URUSI"