VIONGOZI WA DINI WAKEMEA KUSHAMIRI SODOMA NA GOMORA ZANZIBAR

Viongozi wa dini na serikali visiwani zanzibar wamekemea kwa nguvu zote kwa kuendelea kuongezeka kwa vitendo vya ushoga,usagaji,kunajisi,kulawiti na uasherati unaozid kushika hatamu ktk visiwa hivyo vya unguja na pemba.

Mashekhe hao wamesema wamelazimika kufanya utafiti wao binafsi baada ya malalamiko kutoka kwa watu mbalimbali ktk visiwa hivyo na kugundua zaidi ya asilimia kumi (10%) ya wanaume wanaoishi kutoka visiwa hivyo ni mashoga,wameongeza kuwa watoto wadogo wa kike kwa wakiume wamekuwa wakifanyiwa vitendo vy kunajisiwa na kulawitiwa na wazazi wao wa kuwazaa na watu wengine.

Wataalam hao wa mambo ya dini wamesema kuwa wanawake wengi walio ktk ndoa na mahusiano wamekuwa wakifanyiwa vitendo hivi vya kuingiliwa kinyume na maumbile kwa kuepnda au kwa kulazimishwa,wengi wanao wafanyia vitendo hivi ni watu wazima na wenye uwezo wa kipesa na mali hivyo uwarubuni kw kuwaahidi kuwapa pesa hizo.

Watu wengi wamejikuta wakiingia ktk mitego hii kutokana na tamaa zao na umasikini na hali ngumu ya maisha,viongozi hao wamekemea kwa nguvu zote kuachana na mambo hayo kwani ni kinyumena haki za kibinaadamu,nimkumkosea mwenyezimungu pia ianweza kuongeza kasi ya maambukizi ya magonjwa ya zinaa.

Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "VIONGOZI WA DINI WAKEMEA KUSHAMIRI SODOMA NA GOMORA ZANZIBAR"

Back To Top