MLIPUKO WA BOMU WAUA WATU 16 NA KUJERUHI 60 PAKISTAN

Mshanmbuliaji wa kujitolea muhanga amejilipua kwa bobu la kutengeneza kienyeji na zaidi ya watu kumi na sita kujeruhi sitini papohapo,kisanga huko kimetokea siku ya jumatatu usiku wakati mtu huyo alipoamua kujipenyeza kwenye maandamano na kujilipua bomu hilo.

Mlipuko huo umetokea katikati ya uawanja maarufu wa (punjab assembly mjini lahore) ,kikundi cha taliban kimekili kuhusika na ulipuaji wa bomu hilo liliua watu,kuharibu majengo na majengo mengi yaliopo eneo hilo.

Nchi ya pakistani ina amamilioni wakimbizi kutoka nchi ya jirani ya Afghanstan waliokimbia vita ya kuwaondoa al qaeda na taliban ambao wanapigana na majeshi ya marekani na washirika wake toka mwaka 2001 walipovamiwa na majeshi hayo chini ya utawala wa rais George w.bush kwa nia ya kukamata osama bin laden anayetuhumiwa kwa ulipuaji wa mabomu ktk balozi za dar es salaam na kenya mwaka 1998 na ulipuaji wa pentagoni na kituo cha biashara cha (wtc).

pakistani pia ina mgogoro wa kimipaka na kugombania jimbo la kashmir baina yake na taifa la india'

Share :

Facebook Twitter Google+ Lintasme

Related Post:

0 Comments "MLIPUKO WA BOMU WAUA WATU 16 NA KUJERUHI 60 PAKISTAN"

Back To Top