
Hatua hii ileta mvutano mkubwa ndani ya serikali ya uingereza na hata ndani ya umoja ulaya wenyewe na kupelekea kwa waziri wa wakati huo david cameroon kujiuzulu kutoka chama cha labour na kuingia kwa waziri mpya mwanamke theresa may kushka madaraka.
Umoja wa ulaya unakutana visiwa vya malta ukiwa na pengo la kutokuwepo mwanachama mmoja ambae ni uingereza.wakati huohuo ujio wa raisi mpy
a wa marekani na sheria zake mpya pia unaleta wasiwasi ktk umoja huo.
0 Comments "VIONGOZI UMOJA WA ULAYA WAKUTANA VISIWA VYA MALTA"