Ni hali ya patashika nguo kuchanika ktk kujibu mashambulizi ya raisi wa marekani bwana donald trump na agizo la kuzuia raia wa nchi saba kuingia marekani,serikali ya irani inayoongozwa na hassan rohani imejibu katazo hilo kwa vitendo kwa kuzuia timu ya mieleka ya marekani kuingia irani ili kufanya mapambano.agizo la trump lilionekna kama lilikuwa na kuzuia raia wa nchi za kislam kuingia marekani ambapo limeudhi watu wengi ikiwemondani ya marekani.
Wakati huo huo trump ameiambia irani kuwa inachezaa na moto kwa kuchukua hatua hiyo na kuandaa vikwazo vipya kwa irani'
Wakati huo huo trump ameiambia irani kuwa inachezaa na moto kwa kuchukua hatua hiyo na kuandaa vikwazo vipya kwa irani'
0 Comments "IRAN YAMJIBU TRUMP KWA KUZUIA TIMU YA MIELEKA YA MAREKENI ISIINGIE NCHINI"