Raisi john pombe joseph magufuli amemteua luteni venance mabeyo kuwa mkuu mpya wa majeshi ya ulinzi ya tanzania,mabeyo anashika nafasi iliyoachwa wazi na mkuu wa zamani jenerali davis mwamunyange ambae amehudumu ktk nafasi hiyo kwa kipindi chote cha utawala wa awamu ya nne wa raisi jakaya mrisho kikwete ambae imeishia 31/1/2017.
kabla ya kuteuliwa mabeyo alipandishwa cheo utoka luteni hadi kuwa jenerali,wakati huo huo raisi magufuli amemteua luteni james mwakibolwa kuwa mnadhimu mkuu wa chuo cha ulinzi.
kabla ya kuteuliwa mabeyo alipandishwa cheo utoka luteni hadi kuwa jenerali,wakati huo huo raisi magufuli amemteua luteni james mwakibolwa kuwa mnadhimu mkuu wa chuo cha ulinzi.
0 Comments "MKUU MPYA WA MAJESHI YA ULINZI TANZANIA "