Mwanajeshi aliekuwa lindoni ktk makumbusho ya louvre mjini paris ufaransa amelazimika kumpiga risasi mtu mmoja baada ya kuja mbele ya makumbusho hayo na kulazimisha kuingia ndani na kutishia atampiga ikiwa hatomruhusu kuingia ndani.
Eneo la makumbusho hiyo ni miongoni mwa maeneo muhimu na yanayokuwa na idadi kubwa ya watu hasa watalii kutoka sehemu mbalimbali duniani.
Itakumbukwa mwishoni mwa mwaka jana 2016 mtu mmoja alipigwa risasi alipojaribu kuingia ktk duka kubwa.hii inatokana na matishio mengi ya mashambulizi ya kigaidi yanayotokea hasa maeneo ya mikusanyiko ya watu wengi.

0 Comments "MWANAJESHI WA KIFARANSA AMPIGA RISASI MTU ALIESHIKA PANGA"