Tukio la kupotea mfanyabiashara na tajiri mkubwa raia wa canada mwenye asili ya kichina amepotea kwenye mazingira ya kutatanisha siku ya tarehe 31/1/2017.
Bwana xiao jianhua amepotea akiwa mara ya mwisho akiwa ktk hotel
i ya four seasonal ambapo alikuwa amefikia na kuishi,hoteli hi iko mjini hongkong ambayo inamilikiwa na kampuni yake ya tomorrow group.
Vyombo vya habari vingi na mashirika ya ulinzi na upelelezi yanahisi kuwa tajiri huyo ametekwa na vyombo vya usalama vya nchi ya china.
XIAO JIANHUA ana utajiri unakadiliwa kufikia dola bilini sita (6).

0 Comments "TAJIRI MKUBWA WA KICHINA APOTEA KWENYE MAZINGIRA YA KUTATANISHA"