ROMANIA YAFULIKA KWA MAANDAMANO YA KUPINGA SHERIA YA RUSHWA

Mji bucharest nchini romania tarehe 3 umechafuka baada ya wananchi wa taifa la romania kuamua kwenda katikati ya mji mkuu na kuweka kambi huku wakiwa na mabango yenye kuandika kuhusu sheria hiyo ya rushwa.
Taifa hili kla ulaya mashariki lililotawaliwa kwa muda mrefu ni kwa siasa za ujamaa kutoka urusi,maandamano haya makubwa yalihudhuriwa na watu laki moja( 100000) kutoka sehemu mbalimbali.
Sababu ya maandamano hayo makubwa kuwahi kushuhudiwa ni juu ya kupinga sheria ya rushwa inayotaka kuwa mtu hatofunguliwa kesi ikiwa atachukua pesa isiyozidi dola elfu arobaini na nane(48000$) tangazo hilo ndio chanzo cha raia kuingia mitaani,waziri mkuu wa nchi hiyo victor ponta amewasihi wananchi kuwa watulivu,jeshi la polisi limekuwa likilinda majengo ya serikali usiku na mchana kuepuka wizi na uharibifu wa mali,

Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "ROMANIA YAFULIKA KWA MAANDAMANO YA KUPINGA SHERIA YA RUSHWA"

Back To Top