UTAJIRI WA BARANI AFRIKA

Image may contain: natureUkizungumzia madini ya samani ya juu sana basi asilimia 99% yanatoka afrika vivyo hivyo bahari na rasilimali zake,ardhi bora kwa kilimo,misitu na wanyama vyote tumejaaliwa!! Kilichokosekana ni utaalam na uzalendo tu wa kuamua kutumia vitu hivyo kwa maslahi ya bars letu,roho za ubinafsi zinawaponza maelfu kwa malaki ya watu kuteseka ktk ardhi iliyojaa utajiri mkubwa!! Tutazame nchi kama misri inayotegemea utalii na kilimo ktk mto Nile tu,tuangalie Irani,libya,saudi Arabia,Dubai,abudhabi,Iraq,syria ambazo zinategemea mafuta na gesi tu kama nguzo kuu ya uchumi wa  yao wanafanan na sisi!!? Laana gani sisi watu weusi imetupata!!!

Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "UTAJIRI WA BARANI AFRIKA"

Back To Top