Umasikini uliokithiri barani Africa!! Utakapoa uliza kuhusu nchi ishirini duniani zilizo na uchumi mbovu na umasikini kwa raia zake basi zote zitakuwa zinatoka barani Africa ikiwemo Malawi,Burundi,afrika ya kati,Niger,Kongo DRC Madagascar,liberia,gambia,somalia,guinea Bissau,msumbiji,afahanstan,togo,Rwanda na Tanzania,halii inatokan na vipato vya wananchi husika vya kila siku,lishe mbovu na isiyotosheleza,elimu duni,miundominu mibovu,Barabara na mawasiliani Mabovu,huduma duni za Afya,vifo vingi,makazi duni.Licha ya kuwa Moldova ndio nchi masikini barani ulaya wakati ya kwanza kwa uchumi wa juu ni ujerumani!/Barani Asia India mji wa cauclata,Bangladesh,afghanstan, miongoni mwa mataifa fukara kabisa!! Umasikini huu wa nchi za kiafrika unasababishwa na uongozi mbaya,rushwa,kukosekana kwa elimu,vita za wenyewe kwa wenyewe,uchu wa madaraka,propaganda za mataifa ya nje,serikali vibaraka n.k! Bara afrika ndilo bara pekee lenye kila aina ya rasilimali za kila aina na kwa wingi kama madini ya dhahabu,almasi,tanzanite,shaba,mekyuli,uraniam pia misitu yenye Mali,vivutio vya utalii na wanyama,ardhi kubwa na yenye rutuba kwa kilimo,rasilimali watu,mafuta na gesi!! Licha ya kuwa na vyote hivyo bado bars hili limeendelea kubuluza mkia ktk maendeleo kwa Marne na karne na kuwa bars tegemezi kwa kuishi kwa kuomba na kusaidiwa misaada ya kifedha,chakula,utaalam,mitambo kutoka marekani,ulaya na baadhi ya nchi za Asia!! Inasikitisha sana kuona mwenye mkulima kuomba mbegu kwa mnunuzi wa mazao!!!
0 Comments "UMASIKINI AFRIKA"