RAISI WA KOREA KUSINI APONZWA NA RAFIKI YAKE...

Image may contain: one or more people and childmwishoni mwa mwaka 2016 December 8 raisi wa Korea kusini bibi Park aliwekwa kitimoto kuhojiwa juu ya kafsha ya kuwa na mahusiano ya karibu sana narafiki yake kipenzi bibi choi,shutma kubwa ni juu ya kuingiza pesa za serikali ktk akaunti ya rafiki yake,kutumia Mali za umma kwa maslahi ya rafiki,kutoa maagizo yalio batili,ktk makampuni ya serikali kama samsung,hyundai, Mpaka sasa park amesimamishwa kufanya kazi ktk ofisi kupisha uchunguzi zaidi!! Mama yake park aliwawa mwaka 1974 na jasusi wa Korea kaskazini alietumwa kwa kusudio la kuua baba yake,wakati huo park akiwa na umri wa miaka 22.

Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "RAISI WA KOREA KUSINI APONZWA NA RAFIKI YAKE..."

Back To Top