MADHARA YA SILAHA ZA KIBAILOJIA NA KIKEMIKALI

Je wajua kuwa silaha za kibailojia na kemikali ni miongoni mwa silaha mbaya kabisa kutumika ktk uwanja wa vita,nchi za ulaya,marekani na hasimu wake mkubwa urusi wametengeneza silaha hizi na kuzitumia kwa kiwango kikubwa ktk vita mbalimbali,silaha kama mabomu,bunduki n.k hutumika vitani lakini silaha za kemikali na kibailogia zenyewe utengenezwa maabara kwa kuchanganya kemikali na vimelea vya magonjwa aina mbalimbali na kuunda sumu za kuunguza mwili,kupofua macho,kuua,kuleta upungufu wa akili,kuambukiza magonjwa kama kimeta,small pox,ebola,kuleta ulemavu kizazi baada kizazi na hata ukimwi kuna maelezo yanasema umetengenezwa miaka ya 1980 na kuambukizwa watu,baada ya kutengenezwa silaha na magonjwa haya wao pia ubuni dawa za magonjwa hayo kabla ya kusambaza silaha hizi,ni kosa la kisheria kutumia au kubuni aina hii ya silaha hatari Ila yapo mataifa bado yanabuni na kumiliki shehena kwa shehena,itakumbukwa kua nchi za afrika magharibi hasa liberia ilikumbwa naNo automatic alt text available. ugonjwa wa Ebola na kupoteza maelfu ya watu
.Silaha za kibailojia na kikemikali ni miongoni mwa silaha hatari sana kutumika ktk uwanja wa vita!!

Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "MADHARA YA SILAHA ZA KIBAILOJIA NA KIKEMIKALI"

Back To Top