Najua wajua! Miongoni mwa mambo ya msingi ambayo taifa la marekani linajali na kutilia mkazo wa Hali ya juu kwa kutumia mabilioni ya dola ktk kulinda usalama wa viongozi wao hasa raisi wa nchi hiyo!! Raisi wa marekani utumia Gari ndogo aina ya BEAST,basi,helikopta,meli,na ndege maarufu ijulikanayo kama AIRFORCE ONE ndege hii ni maalum kwa ajili ya raisi ina usalama wake binafsi kama kuwa na mitambo ya kulipua mabomu yatakayoelekezwa ktk ndege hiyo,kutopitisha risisa,kunasa mawasiliano yasiotambulika na kufanyia uchunguzi eneo kabla ya kutua,kuwa na ofisi kubwa kwa ajili ya raisi,vyoo,jiko,vyumba vya kulala,ofisi,sehemu ya kupakiza Gari za raisi,kuwepo kwa cabin au kabati maalum ya raisi endapo ndege italeta matatizo angani atawekwa humo,kusindikizwa na ndege mbeli za kivita ikiwa angani(fighter jet) hii yote ni kutokana na uhasama na maadui wengi alionao kama urusi,Korea kaskazini,nchi za kiarabu,Vietnam na Germany n.k pia ni kuzuia mashambulizi kama yaliotokea mwaka 1963 ya J.F KENNEDY huko Dallas akiwa ktk mbio za kampeni ya kugombea uraisi,aliuwawa kwa kupigwa risasi,tabia hii ya kuua viongozi wa juu ni inatishia uhai wa taifa hilo kubwa lenye nguvu za kiuchumi ulimwenguni!! Nchi imejidhatiti kutumia nguvu,akili,Mali,pesa nyingi usalama wa taifa na viongozi wao!
0 Comments "ULINZI WA RAISI WA MAREKANI"