TEMBO NA FARU WAENDELEA KUUWAWA KWA KASI KUBWA

Najua wajua! Kifaru na tembo ndio wanyama wanasakwa na kuuwawa kwa kiasi kikubwa duniani kuliko wanyama wote na majangili ili kuchukua pembe na meno yao yenye samani kubwa ya pesa,wanyama hawa hupatika kwa wingi zaidi nchi za afrika na asia,kifaru huwa na uzito usiopungua tani mbili na nusu sawa na kilo(2500),ubeba mimba had I kujifungua kwa kipindi cha miezi(16),uishi had I kufikia miaka(50),pembe yake INA uzito usiopungu kilo(1) na uuzwa had I kufikia dola elfu(60) sawa na milioni mia moja na ishirini(120),Tembo yeye uwa na uzito usiopungua tani tano(5) sawa na kilo(5000),ubeba mimba kwa muda wa miezi(24) sawa na miaka miwili,pembe meno yake moja uuzwa hadi kufikia dola(2100) sawa na milioni nne laki mbili(4200000),idadi ya wanyama hawa inaendelea kupungua kwa haraka sana kutoka na mahitaji makubwa ya nchi za Asia hasa China kwa kutengeneza vinyago vya kidini,mapambo na urembo wa aina mbalimbali kwa dini za kibudha,tao,shaoulin,baniani kutoka India na China! Kutokana na bei za juu aya bidhaa ya hii inasababisha majangili kuua wanyama hawa kwa kasi kubwa ili kupata meno na pembe hizi kwenda kuuza licha ya serikali kujiatahidi kupambana nao kwa nguvu zote,inasikitisha sana pindi unapokuta tembo mkubwa wa tani tano au faru wa tani mbili na nusu Image may contain: 2 people na kukatwa vibaya sehemu za sura yake!

Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "TEMBO NA FARU WAENDELEA KUUWAWA KWA KASI KUBWA"

Back To Top