Donald trump kiasili ni mfanyabiashara mkubwa na mkongwe mwenye mafanikio ya hali ya juu sana!! Ni tajiri mwenye kumiliki majengo makubwa na ya kifahari kama hotel za nyota tano,viwanda,kampuni za urembo ktk miji mikubwa ndani na nnje ya nchi ya marekani,Mgombea huyu wa chama kikongwe cha repubican! Anashutumiwa na vyombo vya usakama na RAIA wa marekani kwa kushinda Uchaguzi uliopita kwa njia zisizo halali kupitia kusaidiwa na nchi yenye mtazamo mkubwa na uadui wa miaka mingi na marekani yaani urusi na mtawala wake bwana Vladimir Putin!! Shutma ambazo anazikana,Kukalia kiti kwa trump nchi kama China,Korea kaskazini,mashariki ya kati zinajikuta ktk wakati mgumu ktk tawala ya bwana huyu,trump anaonekana kuwa mtu mwenye vituko,vichekesho na anaeweza kuongea na kufanya lolote analojisikia!! Vyombo by usalama kama FBI,CIA,NSA vinaonekana kuwa kimya kabisa kusubiri mtawala huyu!! Ameshaanza kupinga Sera za obama ikiwemo ya Afya waziwazi!
0 Comments "MJUE DONALD TRUMP"