BAKHARESSA ALETA MELI MPYA YA ABIRIA

Yule mwanzilishi na mmiliki wa kampuni kubwa ya biashara Africa mashariki na kati bwana Saidi salim bakharessa anunua meli kubwa ya abiria na mizigo ijulikanayo kama sea link 2,itafanya kazi yake kusafirisha watu na mizigo baina ya dar es salaam kuelekea unguja na Pemba,meli kubwa yenye uwezo wa kubeba1650,mizigo tani 717,magari yasiyopungua 150,bwana bakharessa ambae pia anamiliki melo kama sea bus moja na mbili,Kilimanjaro,sea link 1,pia anamiliki timu ya mpira wa miguu ya azam fc,vingamuzi vya matangazo vya azam na television tatu za azam one,azam two,sinema zetu,viwanda vya vinywaji kama maji,juisi,soda,maziwa,unga wa ngano na sembe, Bakharessa ndio tajiri na mfanyabiashara  Africa mashariki na kati.

Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "BAKHARESSA ALETA MELI MPYA YA ABIRIA"

Back To Top