SYRIA YABAKI KUWA TAIFA LA MIZIMU!!

Baada ya kuanza maandamano yalioanza kama masihara mwaka 2011 yaliokuwa na kusudio la kutaka kuung'oa ungozi wa Bashar Al asad! Ambae ndio raisi wa nchi hiyo umya mashariki ya kati kwa kuiga na kuatazama nchi kama misri,tunisia ambazo zilifanya mapinduzi kama hayo na yakafanikiwa kuondoa tawala zao za awali,lakini hii imekua chungu kwao kwani kwani toka jaribio hilo huu sasa ni mwaka wa sita na hakuna dalili ya kiongozi huyo kuondoka madarakani,mji Mkuu wa Damascus bado uko salama mikononi mwa serikali,Asad akisaidiwa na utawala wa urusi chini ya Vladimir Putin wakati waasi wakisaidiwa na marekani wakiwa na umoja wa ulaya(NATO),Miji kama allepo,Homs imekuwa kama magofu wanayoishi mizimu,maelfu ya watu wamepoteza maisha! Majaribio kama haya yanaweza kuwa mabaya kabisa iwapo kiongozi alie madarakani atakuwa na nguvu na uchu wa madaraka! Majaribio haya pia yamefanyika Yemeni,Iraq,afghanstan,Ukraine,Mali,afrika ya kati,burundi na hata uturuki mwishoni mwa 2016!

Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "SYRIA YABAKI KUWA TAIFA LA MIZIMU!!"

Back To Top