
Hii inatokana na aina mbalimbali za wizi wa mali na taarifa za muhimu ambazo endapo kama zitachukuliwa basi inaweza kuleta matatizo makubwa kwa uhai wa maendeleo ya shirika,ofisi au mtu binafsi,jambo hili ndilo linalosababisha wataalam kutengeneza aina nyingi za kufuli madhubuti kwa ajili ya ulinzi wa mali na taarifa za msingi.

Kiwanda cha kufuli cha squire kilichopo nchini uingereza toka mwaka 1780 kimekuwa kikitengeneza kufuli imara zaidi duniani,wanatumia teknologia ya hali ya juu sana ktk utengenezaji,ziko kufuli kama masters,abus,ebloy,iviation,regd,us mv na jered ambazo ni miongoni mwa kufuli za gharama na bora kabisa duniani kwa usalama wa mali zako za thamani.
Aina hizi za kufuli huweza kubeba hadin uzito wa tani (20) ili iweze kuvunjika ua kuharibika na kufunguka kitu ambacho sio rahisi kwa uzito kufunguliwa na mwizi,baadhi ya kufuli hufunguka kwa bluetooth,namba maalum na nyingene hufunguka kwa funguo za kawaida ambazo haziingiliiani za funguo za aina nyingine cha zaidi nyingine huwa na kengele ya sauti pindi mwizi anapojaribu kuzigusa tu.
0 Comments "KUFULI IMARA ZAIDI KWA ULINZI WA MALI ZAKO ZA THAMANI"