
Maandamano hayo yana lengo la kupinga sera za kiongozi huyo juu ya kuzuia mataifa saba raia kutoruhusiwa kuingi ndani ya marekani,mataifa hayo ni iraq,syria,afghanistan,somalia,suda,pia juu yasera ya kutaka kujenga ukuta wenye kilometa zaidi ya elfu tatu 3000 baina ya mpaka wa mexico na marekani.
Waingereza pia wamechukizwa na hali ya uchaguzi uliomfanya Donald Trump kuingia madarakani kuwa hakuwa huru na wa haki pia ulikumbwa na kashfa za kuingiliwa kimitandao na taifa la urusi ili kuhujumu na kuamfanya Trump kushinda dhidi ya Hilary Clinton mgombea wa chama cha democratic.
Lakini pia Trump amekuwa akilaumiwa sana juu ya sera zake za kibaguzi juu ya wageni na mataifa ya nje hasa ya mashariki ya kati na afrika,ikiwemo na kukandamiza demokrasia ndani ya taifa lake na nje.
Pia Trump amekuwa ktk serikali ambayo inaonekana kuongozwa kimabavu na kutawaliwa na kujiuzulu kwa baadhi ya watendaji wa juu wa serikali hiyo kama mshauri wa mambo ya usalama.
0 Comments "UINGEREZA WAANDAMANA KUPINGA ZIARA YA TRUMP"