
Trump aliongeza kuwa tabia hii ya siri za ikulu kuvuja imekuwepo ktk tawala nyingi zilizopita ikiwemo na hii ya kwake ila amekusudia kuthibiti tabia hii kwa kutumia nguvu kubwa na kufanya taifa la marekani kuheshimika.
Leo hii Rais Trump amemteua (Luteni H.R Macmaster) amabe ana ujuzi kwenye mambo ya jeshi na kivita huko afghanstan,iraq na viata ghuba ya miaka yya 1990,hivyo anaamini macmaster ni mtu makini na atamshauri vyema ktk mambo ya usalama.
Ikumbukwe kuwa miongoni mwa mambo muhimu na yanyopewa kipaumbele hata ktk bajeti ya nchi utumia kiwango kikubwa cha pesa basi mambo ya usalama wa ndani na nnje ya marekani,Taifa hili lenye nguvu ya kiuchumi,kisiasa na kijeshi limewekeza pesa nyingi sana ndani na nje ya marekani kwa kuwa na vituo vya kijeshi sehemu nyingi duniani ikiwemo afghanstani,iraq,japan,korea kusini.
Mareakani ina mashirika yanayohusika na mambo ya usalama kama (FBI,NSA,CIA) ambayo ufanya kazi kwa siri na wazi ktk kulinda usalama wa taifa hilo kwa matishio kama kigaidi kwa mafano shirika la kijasusi la marekani CIA limeajili zaidi ya watu elfu sita 6000 wanaofanya kazi ktk mataifa mbalimbali na ndani ya nchi.
Lakini pia ikumbnukwe pesa nyingi zinzwekezwa ktk ugunduzi na utengenezaji wa silaaha za kisasa za kivita na teknologia kama ndege za kivita za F-15-35 fighter jet,vifaru,helkopta za apache,vifaru vya kisasa.
Mashirika kama NASA wanahusika na mambo ya anga nao husaidia kwa kiasi kikubwa sana ktk kulinda usalama wa nchi,kwakua marekani ndio taifa lenye kuongoza kwa kuwa na maadui wengi basi swala la usalama kwao ni namba moja.
0 Comments "GENERALI H.R MCMASTER ATEULIWA KUWA MSHAURI MKUU WA USALAMA MAREKANI"