UGUNDUZI WA ROBOT WAIBADILI ULAYA NA MAREKANI KTK MAENDELEO

Ushapata kusikia kuwa ktk historia ya maendeleo baina ya ulaya,afrika na asia yalikuwa sawa kabisa ktk nyanja zote za kiamaisha hadi kufikia mwaka 1500 au karne ya 15 century,lakini baada ya hapo watu wa ulaya walaianza kutupita kama tumekaa chini kabisa na mpaka sasa tumekuwa hatujui wala hatuwaoni walipo ktk swala kila sekta ya maisha wao wamekuwa wakituongoza na kutuletea mambo mageni kila kukicha.

Mnamo miaka ya 1700 na 1800 mapinduzi ya viwanda yalianza kuonekana huko ulaya ktk nchi kama uingereza,italia,ubelgiji na ufaransa na baadsae kufauatiwa na ujerumani wakati wa uongozi wa kidikteta wa Adolf hitler miaka ya 1933-1944 alipoangushwa ktk vita ya pili ya dunia.

Nini hasa kiliwafanya mataifa haya waweze kwenda mbele zaidi kiteknologia kuliko maeneo mengine ya dunia,Ktk historia  tunaambiwa kuwa jambo kubwa lilipelekea wao kuwa mbele ni Ugunduzi wa mashine mbalimbali ambazo ulisaidia ktk kurahisa kazi za aina nyingi ndani na nje ya viwanda vyao na kuondoa kufanya kazi kwa kutumia mikono.(manual work) to automatic machine work).

Mnamo mwaka 1920 robot wa kwanza alitengenezwa na  kutumika ktk filamu za miaka hiyo,lakini ilopofika mwaka 1950 roboti alipelekwa kuonyeshwa ktk biashara za kimataifa ili kuweza kutumika ktk shughuli nyinginezo na sio michezo pekee,roboti huyu alikuwa naongozwa kwa kutumia rimoti.

Ilipofika mwaka 1958-1960 alitengenezwa roboti kwa ajili ya kutumika kwa shughuli za viwandani zaidi ktk kuzalisha,kufunga na kuapanga bidhaa mbalimbali na mwaka  1970 alitengenezwa roboti wa kwanza mwenye kutumia mifumo ya kikompyuta  au programu maalum zilizowekwa ndaninyake na kufanya kuwafanya kazi mwenyewe baasda ya kuongozwa(automatic robot control machine).

Na ilipofika miaka ya 1980 hapo wataalam waligundua na kuengeneza roboti mabae atafanana na kufanya kazi,matendo na tabia kama mwanadamu wa kweli(humanoid robot) na mwaka 2010 wataalam hao walitengeza roboti anaetumiam mifumo ya kompyuta(cloud robotic) roboti huyu anao uwezo wa kuafanya kazi za kibainadamu nyingi kama kuhudumua wateja migahawani.

Kwa ugunduzi huu wa roboti sekta nyingi za kiuchumi kama viwandani ktk utenegnezaji wa simu,magari,vifaa vya umeme,viwanda vya vyakula na mitambo mbalimbali vimekuwewa vikitumia roboti ktk hatua zote za uzalishaji wa bidhaa.

Roboti wamekuwa wakitumika kwenda anga za mbali kama sayari ya mars,mwezini,chini ya bahari,ktk majanga ya vimbunga,vitani,mafuriko ambako mwanadamu hawezi au ni hatari kufika kwa usalama wa afya na maisha yake basi roboti hizi uongozwa na kwenda huko kufanya kazi inayokusudiwa.

Ugunduzi huu umeongoza kiwango cha uzalishaji wa bidhaa ktk dunia,kupunguza idadi ya wafanyakzi ktk viwanda lakini pia umesaidi ktk kufanya kazi nzito na hatari nyingi kufanywa na wanadamu sasa zinatendwa zinafanywa na roboti hawa.

Hata ktk maeneo ya vita na eneo la hatari ambapo kunahisiwa kuwepo na bomu basi roboti ndio upelekwa huko ili kutegua mabomu hayo au kuonyesha hali halisi ya eneo,roboti hizi ufahamika kama (drone), Faida kubwa ya hizi roboti ni kuwa kuwa na uwezo wa kufanya kazi kwa masaa au siku kadhaa bila kuchoka au kuharibika kama ilivyom kwa wanadamu.

Kwasasa mataifa ya ulaya na marekeni yameweza kutengeza ndege za kijeshi na vifaa vingi visivyo na rubani au dereva wa kuviongoza bali vinaongozwa kwa kutumia mifumo ya kikopyuta.lakini roboti wana uwezo wa kutengeneza vifaa vidogo ambavyo kwa macho ya kibinadamu huwezi kufanya kazi hiyo.





Share :

Facebook Twitter Google+ Lintasme

Related Post:

0 Comments "UGUNDUZI WA ROBOT WAIBADILI ULAYA NA MAREKANI KTK MAENDELEO"

Back To Top