
Mtanzania huyu ni miongoni mwa watanzania zaidi ya 2420 ambao bado wanapokelewa wahamiaji haramu kutoka msumbiji.
Jackline alifikishwa mtwara Mjini akiwa hayuko ktk afya nzuri na kuamua kukimbizwa hospitalini hapo kwa uchunguzi na matibabu lakini jitihada hizo hazikuzaa matunda na mgonjwa huyo aliaga dunia mapema Jana.
Madktari wanafanya uchunguzi kujua chanzo cha ugonjwa uliosababisha kifo chake.
Baada ya hapo jitihada zitafanyika ili kupata Ndugu wa marehemu na kusafirisha mwili kuelekea iringa ambako ndiko yaliko makazi ya marehemu jackline.
0 Comments "MTANZANIA MMOJA KUTOKA MSUMBIJI APOTEZA UHAI"