Rais wa Kenya mh. Uhuru Kenyatta Jana ametangaza hali ya dharura baadhi ya maeneo ya mkoa wa pwani huko Kenya kutokana na hali ya ukame ulioyakumba maeneo hayo.
Hali imekumba maeneo mengi ya kaskazini mwa kenya na somalia na kusababisha kuwapo na ukosefu wa maji,chakula,kufa na kwa mifugo hovyo,kukauka kwa mazao shambani.
Ukame ktk wilaya ya kwale mkoa wa Kenya ndio imekithiri zaidi na kusababisha watu kukimbia maeneo yao kutokana njaa.
Wafugaji nao wamelazimika kuyakimbia maeneo ili kuokoa uhai wa mifugo yao.
Serikali ya Kenya imeahidi kusaidia watu wote walikumbwa na tatizo hilo.

0 Comments "UHURU KENYATA ANYOOSHA MIKONO JUU KWA UKAME PWANI YA KENYA"