KAKA WA KING JONG UN WA KOREA KASKAZINI AFARIKI AKIWA MALAYSIA

Kaka wa kiongozi wa kidikteta wa korea kaskazini (kim jong un) anaejulikana kama( kim jong nam) mwenye  umri wa miaka 46 alizaliwa mwaka 1971 amefariki ghafla akiwa uwanja wa ndege wa malaysia,inasemekana kifo chake kimesababishwa na kutumwa kwa wauaji kutoka korea kaskazini na mdogo wake kim jong un ambae ni mdogo wake.

Kim jong nam ni mtoto mkubwa wa kim jong il aliyefariki miaka michache iliyopita,maisha ya kim jong nam inasemekena ni ya starehe kupita kiasi akiwa anapenda wanawake,pombe na kucheza kamali mara nyingi kama ilivyokuwa kwa baba yake mzazi kim jong il.

Kabla ya kifo cha kim jong nam inasemekana aliongozana na wanawake wawili akitokea uwanja wa ndege ndipo ghafla alianguka na kuppoteza uhai na kufanya watu kushuka kuwa aliwekewa sumu  na wanawake hao.
Maisha ya kim jong nam mara nyingi yalikuwa nchi za nnje kama china na malyasia na sio korea kaskazini kwao,kifo chake kinausishwa sana na mdogo wake kim jong un.


Share :

Facebook Twitter Google+ Lintasme

Related Post:

0 Comments "KAKA WA KING JONG UN WA KOREA KASKAZINI AFARIKI AKIWA MALAYSIA"

Back To Top