MANJI KIKAANGONI UHAMIAJI



Mafanyabiashara mkubwa na mwenyekitini wa klabu ya mpira ya yanga Bwana yusuph manji amekutwa na makosa ya kumiliki wafanyakazi wasio na vibali vya kuishi nchini ktk makampuni yake na kuwa na hati za kusafiria nyingi.

Yusuph manji baada ya kukamatwa kwa makosa ya kuhisiwa kutumia madawa ya kulevya na kuwekwa rumande zaidi ya wiki na baadae kubadilika kiafya na kukimbizwa hospital ya muhimbili ya kwa matibabu zaidi.

Idara ya uhamiaji nao wanataka kumfungulia mashtaka kwa makosa hayo ya kuwa na vibali vingi vya nje kusafiria na kuwamiliki wafanyakazi wasio raia  bila vibali maalum.

Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "MANJI KIKAANGONI UHAMIAJI"

Back To Top