
Akiwa ktk mkutano wa hadhara huko Maryland Trump aliongeza kwa kusema yeye hatokuwa tayari kuacha misimamo na matakwa ya wamarekani kwa kuwaridhisha watu wa mataifa mengine vile wanavyotaka,swala la usalama wa watu wa marekani ndio kitu cha kwanza kuliko vyote hivyo hatokubali vikundi vya imani za itaikadi kali za kidini kuendelea kuingia nchini na kuleta madhar kwa watu wake.yeye ataendelea kuzuia watu hao hadi pele marekani itakapokuwa salama.
Trump pia aliliwapiga dongo na kuzuia vyombo vya habari vya BBC,CNN na Gazeti la NEW YORK TIMES kuhudhulia mikutano yote inayoandaliwa na ikulu ya marekani kwa makosa ya kuzusha na kutunga taaria za uongo juu ya utawala wake na kufanya kuonekana kama hautendi vyema kitu ambacho si kweli,Trump aliahidi na kusistiza juu ya kuweka vyanzo vya wamarekani kupata ajira tele ktk viwanda.
0 Comments "TRUMP: SIJACHAGULIWA NA WAMAREKANI KWA AJILI YA UMOJA WA ULAYA WALA NATO"