Thursday, February 16, 2017

Rais wa marekani Dolnad Trump amesema wasi ktk mkutano akiwa na mwakilishi wa urusi kuwa yeye hana uhusiano wowote mbaya na urusi ambao watu watu na vyombo vya habari wanaamua kuzusha mara kwa mara kabla na baada ya uchaguzi,kikubwa rais wa urusi vladimir Putin aliapiga simu kuompongeza kwa kushinda uchaguzi lakini pia siku ya kuapishwa aliompongeza.
Trump alijitetea kwa kusema kuwa yeye hana mahusiano na urusi wala hana mkopo,biashara na nchi ya urusi hivyo watu waache kuzusha mambo yasiyo na msingi kwa taifa na viongozi
0 Comments "TRUMP AKANA KUTOKUWA NA MAHUSINO YEYOTE NA URUSI"