Gari iliyokuwa iliyobeba milipuko mingi ndani yake imeliopuka maeneo ya watu wengi mjini baghdad na kuua zaidi ya watu 51 na jeruhi zaidi ya 55,shambulio hili ndio kubwa zaidi kuwahi kutokea ktk mwaka 2017 ktk nchi ya iraq.
Mlipuko huo mkubwa kutokea ulikusudia kuwaua washia lakini pia
uliaribu magari,majengo yaliokuwa jirani na eneo hilo,mji wa baghdad nui miongoni mwa miji htari ndani ya iraq ikiwemo na mosul,erbil,na basra.
uliaribu magari,majengo yaliokuwa jirani na eneo hilo,mji wa baghdad nui miongoni mwa miji htari ndani ya iraq ikiwemo na mosul,erbil,na basra.

0 Comments "BOMU LAUA 51 BAGHDAD IRAQ"