CONGO DRC YAAHIRISHA UCHAGUZI

Uchaguzi uliokuwa ufanyike mwaka huu umeaghirishwan na Rais wa nchi hiyo Bwana Joseph kabila kwa kuongea ktk mkutano kuwa serikali ya Congo Drc imeghairisha uchaguzi huo uliokuwa ufanyike kwa kila alichodai ukosefu wa pesa za kuendeshea shughuli nzima hiyon ambayokwa kawaida utumia kiasi kikubwa cha pesa.

Taarifa hii inaweza kuchochea machafuko na maandamano mjini kinshasa.

Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "CONGO DRC YAAHIRISHA UCHAGUZI"

Back To Top