Thursday, February 16, 2017

Zaidi ya watu mia moja (100) wamefariki dunia papo hapo huko pakistani baada ya mlipuko mkubwa wa bomu uliotokea ndani ya nyumba ya ibada iliyopo mjini Sehwan kilomita 200 kutoka mji wa karachi,mlipuaji wa kujitoa muhanga aliingia ndani ya nyumba ya ibada ya sufi shahbaz qaladar lililofurrika watu wengi wakifanya ibada akiwa amejifunga mabomu mwilini mwake na kuanza kujilipua mara moja.
Hali hii ya kujilipua kwa kujitoa mhanga kwa watu ktk nyumba za ibada imeleta taharuki kubwa kwa waumini nbaada ya kuona wanawake na watoto wengi ndio walioathirika zaidi na mlipuko huo.
Kikundi cha ISIS kimekili kuhusika na shambulio hilo.
0 Comments "BOMU LAUA 100 KTK NYUMBA YA IBADA PAKISTAN"