RAIS WA VENEZUELA AMUONYA DONALD TRUMP

Rais wa venezuela bwana Nicolas Maduro amemuonya kwa nguvu zote kiongoza wa marekani Donald Trump kuwa aache kabisa tabia ya kuingilia na kufuatilia maswala ya ndani ya nchi yake kwani hayamuhusu hata kidogo na wala hwajakuwa pamoja ktk kumwaga jasho la kuikomboa nchi ya venezuela na hatimaye kufanya mapinduzi.
Alioengeza kuwa mambo ya kuongea na viongozi wa mataifa jirani na kuleta migororo ikiwemo kutoa habari za mambo ya ndani ya nchi hiyo,hivyo ameamua kuifungia stesheni ya CNN kufanya kazi zake nchini humo kwa kutumika kuongea habari za uongo za taifa hilo hasa ktk swala la madawa ya kulevya.

Venezuela imekuwa ktk machafuko na maandamano ya mara kwa mara kupinga uongozi,ukosefu wa mafuta ya magari,kazi na huduma duni za mambo ya kijamii toka kufariki kwa Hugo chaves mwaka 2013 baada kuugua kwa muda mrefu.

Aliongeza kuwa yeye hataki ukorofi na utawala mpya huo wa Trump kama ilivyokuwa kwa  Tawala ya Barack Obama.

Share :

Facebook Twitter Google+ Lintasme

Related Post:

0 Comments "RAIS WA VENEZUELA AMUONYA DONALD TRUMP"

Back To Top