BRAZIL KUTUMIA MAMILIONI YA PESA KUTENGENEZA KINGA YA HOMA YA MANJANO

Brazil inakusudia kutumia wataalam wake kuendeleza mbio za kugundua kinga iatakayoweza kuzuia ugonjwa wa homa ya manjano kwa wananchi wake,ikumbukwe kuwa nchi hii iko ktk maeneo ya kiikweta hivyo inapata kiasi kikubwa kwa mwaka mara nyingi na kufanya mda mwingi wa mwaka maeneo mengi kujaa na kufurika maji kwa mada mrefu hivy kuzalisha mbu na vimelea vya magonjwa ya aina mbalimbali kama vimelea vya magonjwa ya zika ambao umfnya mama mjamzito kuzaa mtoto aliayekuwa na maumbile ya utu uzima na kichwa kikubwa,ugonjwa huu wa zika husababishwa na mbu,lakini pia ugonjwa wa manjano uuwa watu wengi nchini brazil hivyo serikali imezamilia kuzalisha kinga(vaccine)

 kwa ugonjwa huu ili kuuthibiti kabisa.

Share :

Facebook Twitter Google+
0 Comments "BRAZIL KUTUMIA MAMILIONI YA PESA KUTENGENEZA KINGA YA HOMA YA MANJANO"

Back To Top